Psalms 139:21-22

21 aEe Bwana, je, nisiwachukie wanaokuchukia?
Nisiwachukie sana wanaoinuka dhidi yako?
22 bSina kitu zaidi ya chuki dhidi yao,
ninawahesabu ni adui zangu.
Copyright information for SwhNEN